Staa huyu hakusubiri kupewa zawadi ya Xmas kutoka kwa mtu yoyote, kajinunulia...
Tuko kwenye mwezi ambao una Sikukuu nyingi na kubwa katika mwaka, ikiwemo ile ya tarehe 25 ambayo ni Sikukuu ya Christmas.Wengi tumezoea kupewa zawadi, lakini kumbe zawadi sio lazima kupewa hata wewe...
View ArticleAmanda: Starehe Kwanza, Mungu Baadaye.
Staa mwenye shepu ya aina yake ndani ya Bongo Movies, Tamrina Poshi āAmandaā ameibuka na kusema kuwa siku ikifika atarejea kwa Mwenyezi Mungu lakini kwa sasa bado anakula ujana.Akiongea na Gazeti la...
View ArticleNdege ya mizigo iliyosheheni silaha za kivita imekamatwa katika uwanja wa...
Licha ya kukanusha awali, Urusi imesema inamiliki ndege ya mizigo iliyozuiwa katika uwanja wa ndege wa Kano kaskazini mwa Nigeria baada ya kugunduliwa imebeba silaha ambazo hazikuwa zimearifiwa.Hata...
View ArticleMastaa wa Bongo Wamejaa Zambi na Kutumia Muda Mwingi Kupiga Majungu.
WAKATI tukiwa tunakaribia kumaliza mwaka 2014, msanii wa filamu Ruth Suka āMaindaā, amedai kuwa hakuna jambo ambalo mastaa wa Bongo wamelifanya zaidi ya kuchuma dhambi na kutumia muda mwingi kupigana...
View ArticleShilole Feki Aibuka na Kuchafua Hali ya Hewa Mtandaoni Kwa Kuandika Kingereza...
Lile wimbi la watu kutumia majina ya mastaa kwenye mitandao ya kijamii likiwa bado linaendelea Ā kwa kasi. Bongo movies imekutana Ā huyu anejiita SHILOLE CLASIC.Akijifanya kuwa yeye ni Ā Shilole, ambae...
View ArticleBilionea wa Nigeria amzawadia Tayo $350,000 baada ya kushindwa kuzinyakua...
Idris (kushoto) akiwa na Tayo (kulia)Imeripotiwa kuwa baada ya mshiriki wa Nigeria kwenye shindano la Big Brother Afrika, Tayo kuzikosa dola laki tatu za Biggie zilizomwendea Idris wa Tanzania Jumapili...
View ArticleMmarekani amezwa kwa hiari na nyoka Anaconda ili kufanya utafiti ndani ya...
Mtaalamu mmoja wa wanyama pori nchini Marekani, Paul Roslie aliamua kufanya utafiti ndani ya tumbo la nyoka mkubwa aina ya Anaconda ili kuchunguza maumbile ya ndani ya Nyoka huyo.Lengo la utafiti huo...
View ArticleHabari kuhusu wale Mapacha walioungana iKO hAPA,usipitwe.
Mapacha ambao wameungana huko Bengal MagharibiĀ GangaĀ naĀ Jamuna MondalĀ 45, wamesema hawajawahi kuwa na mpenzi katika maisha yao kwa sababu ya kukataliwa kutokana na mwonekano wao.Mabinti hao ambao...
View ArticleHii ni habari mbaya kwa walaji wa mboga za majani Dar, wapo hatarini kupoteza...
Wakazi wa jiji la Dar es salaam wapo katika hatari ya kupatwa na magonjwa makubwa kama saratani, utasa, kupoteza uwezo wa kuona,kuharibu ubongo,maini na figokutokana na matumizi ya mboga za majani...
View ArticleMaajabu! Aliyezamishwa Sululu Kichwani Apona.
HAKUNA neno jingine la kutumia zaidi ya kusema; KWELI MUNGU MKUBWA! Ni miezi mitano sasa imekatika tangu kusambaa kwa picha mitandaoni zilizomwonesha mwanaume mmoja akiwa ameshindiliwa sululu kichwani...
View ArticleMwigizaji Amanda Poshi Anaswa na Kibabu cha Kizungu.
MSANII nyota wa filamu Tanzania, Tamrina Poshi maarufu kama Amanda, amenaswa katika picha akiwa na mzungu anayeonekana kumzidi umri ambaye unaweza kumwita kijeba aliyemtambulisha kama rafiki yake....
View ArticleMaskini Ona Kilichomkuta Huyu operator Baada Ya Kuweka picha za utupu katika...
Ajali popote, huyu jamaa amepata ajali kazini tena huenda katika mazingira ambayo hakuwahi kutarajia.Kutokana na sheria kali za China, hii haikuwa makusudi lakini kwa sababu tayari kashafanya kosa...
View ArticlePicha za yule msichana aliyemtesa mtoto Uganda Ziko hapa, amepandishwa tena...
Kwa mara ya pili yule msichana anayetuhumiwa kwa kesi ya kumpiga mtoto Uganda amepandishwa Mahakamani jana December 10, tarehe ambayo Mahakama ya Uganda ilipanga kutoa hukumu ya msichana huyo.Msichana...
View ArticleNyama Choma Festival Yapigwa Maruku Kufanyika Katika Viwanja Vya Chuo Kikuu.
Tamasha Kubwa na Maarufu la Nyama Choma Hapa Dar es Salaam Limepigwa Marufuku na Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) Kufanyika katika Viwanja vya Chuo hicho Baada ya Tamasha lililofanyika...
View ArticleHabari Njema Kwa Tanzania, Miss Tanzania Aingia Kumi Bora Miss World..Endelea...
Jana December 10 2014 Watanzania walimpokea kwa shangwe mwakilishi wao kwenye BBAHotshots Afrika Kusini, Idris ambae ndie alitangazwa mshindi wa dola za kimarekani laki tatu siku kadhaa tu baada ya...
View ArticleAsilimia 75 ya wanawake/wasichana wanakiri simu zinavunja mahusiano yao.
Kama simu yako ya mkononi haikatiki kiganjani mwako muda wowote, inaweza ikawa inaharibu uhusiano wako na umpendaye. Wanasaikolojia wamesema kuwa watu wengi kwa sasa wanalazimika kushindana na...
View ArticleKuna taarifa ya ugonjwa wa ajabu uliowakumba watoto Nchini Uganda.
Ugonjwa mwingine wa ajabu umeibuka Uganda, ambapo umewakumba watoto na wengine wakiripotiwa kufariki kutokana na ugonjwa huo.Ugonjwa huo ni wa kutikisika kichwa na haujafahamika sana Duniani kitu...
View ArticleAjali Yauwa Watutu Bunju Dar , Gari Aina ya VX Lililogonga Boda bado Lachomwa...
Gari aina ya Toyota VX likiwaka moto baada ya kuchomwa na wananchi mchana leo Bunju B jijini Dar kwa kusababisha ajali na kuuwa madereva watatu wa bodaboda...Shuhuda wa Ajali hiyo Amehabarisha kuwa VX...
View ArticleKama Ulikuwa Hufahamu Utafiti Unaonyesha Kuwa Mwanamke ni Kiumbe Katili Sana.
Mara nyingi sana watu wamekuwa wakiwasifu wanawake kwamba ni watu wapole lakini ukweli haupo hivyo.Mwanamke ni mtu wa maamuzi ya haraka na pengine anapotaka kufanya jambo huwa hafikiri madhara yake...
View ArticleWanaume wenye wivu huathiri mbegu zao.
Watafiti wamegundua kwamba wanaume ambao hawafanyi shughuli za kuwalinda wapenzi wao, huzalisha mbegu zenye ubora zaidi.Kwa mujibu wa utafiti, uliyochapishwa katika PloS One, ni kwamba wanapokojoa huwa...
View Article