
Wengi tumezoea kupewa zawadi, lakini kumbe zawadi sio lazima kupewa hata wewe mwenyewe unaweza kujipa zawadi.
Msanii kutoka Nigeria, David Adedeji Adeleke a.k.a Davido ameweka picha kwenye ukurasa wake wa Instagram akionyesha zawadi ambayo amejinunulia kwa ajili ya Christmas ya mwaka huu na kuwashukuru mashabiki wake waliomsapoti Duniani kote.
Amejinunulia gari aina ya Range Rover na kuweka picha ya gari hiyo ikiwa na maneno haya; “EARLY CHRISTMAS PRESENT FOR MYSELF!! BEEN A GREAT YEAR THANKS FOR ALL THE SUPPORT WORLDWIDE! I WOULDNT HAVE GONE THIS FAR WITHOUT U GUYS!!
Chanzo:Millardayo.