Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Kuna taarifa ya ugonjwa wa ajabu uliowakumba watoto Nchini Uganda.

$
0
0


Ugonjwa mwingine wa ajabu umeibuka Uganda, ambapo umewakumba watoto na wengine wakiripotiwa kufariki kutokana na ugonjwa huo.

Ugonjwa huo ni wa kutikisika kichwa na haujafahamika sana Duniani kitu ambacho huenda kikaweka changamoto ya kuupatia tiba na kinga ya ugonjwa huo.

Watoto wengi wanahofiwa kufariki zaidi ambapo wazazi ambao wana watoto wanaougua ugonjwa huo wamesema kuwa hata wakienda hospitali hawapati huduma yoyote ya kutibu maradhi hayo na wameiomba Serikali kufanya uchunguzi kujua sababu ya ugonjwa huo na tiba inayopaswa kutolewa.
Credit:Millardayo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles