Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais kutoa msamaha kwa wafungwa Waandishi wa Habari…

Waandishi wa habari watatu walioshtakiwa kwa kuandika habari za kichochezi huenda wakaachiwa huru hivi karibuni kwa msamaha wa Rais.Waandishi wa Habari hao Peter Greste raia wa Australia, Mohammed...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jaguar wa Kenya Na huyu Mnigeria Ona walichofanya Hapa.

Staa wa hit single kama ‘kioo’ na ‘kigeugeu’ mkenya Jaguar amerudi tena kwenye spika zetu kwa kuidondosha hii remix ya single yake mpya ya ‘One centimetre’ ambayo kamshirikisha mkali Iyanya kutoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LINEX AFANYIWA KITU KIBAYA NA STIVE NYERERE,JAMANI INATIA HURUMA SANA.

.Tumeshazoea kwamba mtu anapokufanyia ubaya basi lazima na wewe ulipize ubaya ni watu kadhaa ufanya hivyo baada ya kukerwa na ulichofanyiwa.Mkali wa hit single ya Wema kwa Ubaya ‘Linex Sunday Mjeda’...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sentensi 5 za Adebayor kuhusu kumfukuza kwake mama yake na kumtelekeza.

Mapema leo asubuhi ilitoka habari kuhusu mshambuliaji wa kimataifa wa Togo kumfukuza mama yake kwenye moja ya nyumba zake huko nchini Togo kutokana na kutokuwa na maelewano na mazuri na mama yake huku...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ukweli kuhusu utajiri wa Real Madrid.

Real M adrid iko mbioni kutimiza mwaka wake wa 10 huku ikiwa inaongoza kama taasisi ya michezo linapokuja suala la mapato au faida inayotengenezwa.Hii ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na rais wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kazi Kwenu Mnaotema Mate Ovyo Kwa Barabarani.Sasa Kutozwa Faini.

Swala la usafi wa Mazingira ni muhinu kwa kila mtu mazingira yanapokuwa machafu huhatarisha Afya na kusababisha magonjwa ya mlipuko, maeneo mbalimbali yamekuwa na vifaa maalum vya kutupia taka lakini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Matumizi ya Mtandao wa Whatsapp Imesababisha Ndoa Hii Kuvunjika.

Wiki chache baada ya WhatsApp kutambulisha mfumo mpya ambapo iwapo unamtumia message mtu inakuonyesha alama ya tick mbili za kijani na pia inaonyesha muda ambao mtu uliyemtumia message hiyo ameisoma,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PAPASO ! Ratiba Kwa TV Yako TBC 1 na TBC 2 Iko Hivi !!

Leo Jmosi TBC 2 ni Saa 12 jioni na Kurudiwa Ni J4 Saa 8 Mchana.TBC 1 ni saa 5 za Usiku.Na Kwa Radio Live TBC fm Ni Kila Jumanne Saa 1jioni.Leo Niko na @naytrueboy Amefunguka Mengi Juu ya Uhusianio wake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Inahuzunisha Sana,Mtu 1 amefariki Dunia Baada ya Ndege kushindwa kumsafirisha.

Sande Jacob Mremi amefariki Siku chache baada ya kukosa usafiri wa ndege ambapo alitakiwa kwenda nje ya nchi kupata matibabu.Kituo cha ITV kiliripoti kuhusu habari za kijana huyo kuumwa na kutokana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND PLUTNUMZ AZUNGUMZIA SABABU ZA KUACHANA NA WEMA SEPETU.

Diamond amesikika kwenye show ya XXL ambapo amezungumzia mambo mengi, baadhi ya yale aliyoyazungumzia ni pamoja na story zilizoenea mitandaoni kwamba mahusiano ya msanii huyo na Wema yameisha pamoja na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALI ILIVYOKUA KATIKA MAZISHI YA TAJIRI WA BUKOBA ALIYEFARIKI AKIWA ANAFANYA...

Msafara wa magari ukitoka kuchukua mwili wa marehemu hospitali kuelekea nyumbani kwake.Tukio hilo lililozua gumzo mjini Bukoba, lilitokea usiku Novemba 18, mwaka huu ambapo imeelezwa kuwa marehemu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Staa wa Bongo Fleva aliyemvisha mpenzi wake Pete.

.Hitmaker wa single ya Wahalade ‘Barnaba Elias’ amefungua ukurasa wa maisha baada ya kumvisha pete Mama wa Mwanaye  Mama Steve .Baadhi ya mastaa waliohudhuria kwenye party hiyo akiwemo Kajala,Navy...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maneno ya meneja wa Wema Sepetu kuhusu kumwachanisha na Diamond

Kama macho yako hayakosi Magazeti ya kila siku au kusoma mitandao mbalimbali ni lazima utakua umekutana na stori kwamba Wema Sepetu na Diamond Platnumz wameachana.Diamond Platnumz alihojiwa kwenye XXL...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAYA NDIO MAKUBWA YALIYOMKUTA MASOGANGE.

 MCHUMBA wa Video Queen maarufu Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ aitwaye Evance Kom juzikati alijikuta akivunja ukimya kwa kuweka wazi kuwa msichana huyo amemsaliti baada ya kuvunja makubaliano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wilaya Inayongoza Kwa Ukatilia Wa Kijinsia Na Watoto Nchini Tanzania Iko Hapa.

 Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro nchini Tanzania inaogoza kwa ukatili wa kijinsia na watoto huku ikibainika kuwa watoto ndio wamekuwa wahanga wa kubwa katika jamii.Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha chafu zamfikisha rumande Msanii Huyu Wa Kizazi Kipya.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Uganda Kansiime Jemimah maarufu kama -Panadol wa Basajja- amepelekwa rumande baada ya kukanusha mashtaka ya kusambaza picha za uchi kinyume na sheria za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maskini Liverpool OnaKilichowakuta.

Hali kwenye klabu ya Liverpool imeendelea kuwa mbaya baada ya kupoteza mchezo wake wa tatu mfululizo kwenye ligi ya England .Liverpool iliuona uwanja wa Selhurst Park mchungu baada ya kufungwa 3-1...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND PLUTNUMZS SASA NI LEVO ZINGINE KABISA ZA KIMATAIFA.ONA ALICHOKIFANYA...

.Tumeshazoea kuona baadhi ya mastaa wa Afrika wanapoweka video zao kwenye youtube wanapata views nyingi ndani ya siku chache lakini Good news time hii imeangukia kwa mkali wa Tanzania.Mmiliki wa hit...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAYA NI MAUAJI YA KUTISHA NA KUHUZUNISHA.

Baadhi ya miili ya abiria waliouawa jana na Al-Shabaab eneo la Mandera, Kenya.Basi lililotekwa na Al-Shabaab eneo la Mandera likiwa njiani kuelekea Nairobi.Wanajeshi wakiwa eneo la tukio.Baadhi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hadhari Kubwa Ya Kufanya Mapenzi Kwa Njia Ya Mdomo Iko Hapa.

Saratani imeendelea kuwa tishio Tanzania na sasa unaambiwa saratani ambazo zilikuwa hazijawahi kujitokeza au kuonekana kipindi kilichopita, sasa ndio kama zimezaliwa na watu mbalimbali Tanzania...

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live