Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

PAPASO ! Ratiba Kwa TV Yako TBC 1 na TBC 2 Iko Hivi !!

$
0
0

Leo Jmosi TBC 2 ni Saa 12 jioni na Kurudiwa Ni J4 Saa 8 Mchana.
TBC 1 ni saa 5 za Usiku.
Na Kwa Radio Live TBC fm Ni Kila Jumanne Saa 1jioni.
Leo Niko na @naytrueboy Amefunguka Mengi Juu ya Uhusianio wake na Freemason.
Siri ya Kutumia Kutumai No #966
Ukorofi Wake.

Video yake ya Kutisha ya Mr Nay Kwa Nin inatisha Na Ina Dam Pia.
Bif zake na Madee na Wasanii Wengine.
Amemuongelea Pia @momusic1 alivyopotea Kwa Game na Kumsikitikia Sana.
Ana Watoto Watatu Kila Moja na Mama Yake na anataka Awe na wengine tena.
Wote mama tofauti na si kwa Bahati Mbaya bali alipanga Iwe Hivyo.
Hataki Collabo tena na Msanii wa Bongo
Anaangalia Mbele Zaidi.
Ameongelea Pia Ishu Zake za kuvuta Bangi.
Akadumba Ngoma Yake Mpya Pia kaongelea Mengi.
Hizi ni Baadhi tu ya Mambo Kibao aloongea na Mim kwenye PAPASO.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles