
Kaunti ya Wasiligishu Kenya imepata sheria mpya baada ya Bunge la akanti ya Kyambuu kupitisha mswada unaopendekeza ada ya shilingi elfu kumi kama faini au kifungo cha miezi mitatau kwa mtu yoyote atakae kamatwa akitema mate hovyo au kupenga makamasi hadharani.
Lengo la Sheria hiyo mpya nikusaidia kuondoa maambukizi na maradhi mbalimbali yanayoweza kuambukizwa kwa njia ya hewa au maji sheria ambayo imepokelewa kwa hisia tofauti na wananchi.