Hii inahusu punda kushirikishwa kufanya mauaji ya binadamu kutokana na imani...
Tumezoea kuona matukio ya kikatili yanayofanyika kutokana na imani za kishirikina hasa pale mtu anapohisiwa kuwa na matendo ya kishirikina na kufanyiwa matendo ya kinyama kwa wananchi kujichukulia...
View ArticleBinti Aamua kuongeza titi la tatu katika mwili wake.
Kweli duniani kuna vituko na ndivyo ilivyotokea kwa binti mmoja mwenye umri wa miaka21 baada yakufanyiwa upasuaji wa kuongeza titi la tatu katika mwili wake.Binti huyo aliyejulikana kama Jasmine...
View ArticleSasa hiki ndicho alichokisema Ronaldo kuhusu ripoti za kumtukana Messi.
Jana Jumanne gazeti la Daily Telegraph liliandika habari ya kusisimua kutoka kwenye kitabu cha mwandishi wa SKY Sport Guillem Balague kiitwacho “MESSI” ambacho kiliandika >>> “Ronaldo, labda...
View ArticleHuyu Star Amemruhusu Mke Wake Kim Kardashian Kupiga Picha Za Utupu.
Rapper Kanye West ameweka wazi kuwa kuwa anakubali kila akifanyacho mke wake kwenye majarida tofauti. Kupitia twitter yake Kanye West ametwit picha ya Kim K iliyotumika kwenye jarida la Paper.Kim...
View ArticleDiamond Platnumz Atoa Sababu za Kuachwa na Wema Sepetu
Ni kama vile Diamond Ameamua kufunguka ila kwa kutumia Mafumbo kuhusu kuachwa na Wema Sepetu Leo Amepost Ujumbee Huu Kwenye Instagram : "Alidanganywa na wale, wa Mapesa Nyumba Gari... Mie Ungaunga...
View ArticleRapper Geez Mabovu amefariki dunia usiku Wa Jana.
Geez Mabovu ni ambae hajavaa shati.Kabla mwaka 2014 haujaisha idadi ya watu maarufu wa Tanzania waliotangulia mbele za haki imezidi kuongezeka na hii ni baada ya taarifa kutoka Iringa zilizoanza...
View ArticleAjali ya kwanza katika majengo ya ghorofa pacha.
Hii inakuwa ajali ya kwanza kutokea wiki moja tangu kuzinduliwa kwa majengo ya ghorofa pacha ya One World Trade Centre, New York Marekani.Watu wawili wanaofanya shughuli za kusafisha vioo vya majengo...
View ArticleHAWA NDIO MARAIS WALIOUAWA KWA KUPIGWA RISASI WAKIWA MADARAKANI.
ABRAHAM Lincoln; alikuwa Rais wa 16 wa Marekani. Aliuawa mwaka 1865 jijini Washington kwa kupigwa risasi kichwani kwa nyuma na John Wilkes. Alikuwa amekaa na mkewe. Bastola iliyotumika inaitwa...
View ArticleBaada ya kuiona hii katuni, Roma Mkatoliki ameyaandika haya kutokana na kifo...
Tanzania inaomboleza kifo cha rapper Geez Mabovu ambae amefariki kwao Iringa akiwa hospitali jioni ya November 12 2014 baada ya kuugua kwa kipindi kirefu, ni wiki mbili toka aondoke Dar es salaam akiwa...
View ArticleIdadi Ya Watu Waliofariki Dunia Kwa Mlipuko Hatari Wa Ebola Iko Hapa.
Idadi ya watu waliofariki dunia kwa mlipuko hatari wa Ebola, imeongezeka hadi kufikia 5,160, Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema.Shirika hilo limesema ongezeko la mambukizi mapya ya ugonjwa huo...
View Article