Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Idadi Ya Watu Waliofariki Dunia Kwa Mlipuko Hatari Wa Ebola Iko Hapa.

$
0
0
Idadi ya watu waliofariki dunia kwa mlipuko hatari wa Ebola, imeongezeka hadi kufikia 5,160, Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema.


Shirika hilo limesema ongezeko la mambukizi mapya ya ugonjwa huo linaonekana kutokuwepo katika nchi za Guinea na Liberia hata hivyo linaonekana kuendelea kuwa juu katika nchi ya Sierra Leone.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles