VENGU MSANII WA ORIGINAL COMEDY ALIYEUGUA TANGU 2011,HII NDIO HALI ALISI KWA...
Msanii staa wa Kundi la Orijino Komedi ‘OK’, Joseph Shamba ’Vengu’ ameanza kurejea katika ‘fomu’ baada ya kuugua kwa muda mrefu, Risasi Jumatano linathibitisha. Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa msanii...
View ArticleWEMA SEPETU AAMUA KUWACHANA WATU WANAOMUULIZA ATAZAA LINI, AWAPIGA MKWARA MZITO.
Wema Sepetu ameamua kuwatolea uvivu baadhi ya watu wanaomtaka azae mtoto. Wema mwenye miaka 25 kwasasa amesema hana mpango wa kuzaa kwa muda huu pengine kwakuwa umri wake bado sio mkubwa ni wa msichana...
View ArticleHII NDIO KAULI YA SHETA BAADA YA KUULIZWA KAMA ANAWEZA KUFANYA KAZI NA ALLI...
Sheta ambaye ni miongoni mwa wasanii wanaofanya kazi na hit makers wa bongo kwenye nyimbo zake amezungumzia uwezekano wa collabo na Ali Kiba Kwenye exclusive interview na @sammisago.Swali> Sheta...
View ArticleKuhusiana na kuvuja kwa picha za utupu za staa wa muziki, Serikali yatangaza...
Waziri wa Maadili wa Uganda Simon Lokodo ameagiza kukamatwa kwa msanii Franklin kutoka Nigeria ambaye anatuhumiwa kwa kusambaza picha za utupu alizopiga akiwa na mpenzi wake Desire Luzinda.Serikali ya...
View ArticleStori hii inahusu mtu aliyempigia simu Rais kuomba msaada wa fedha kuutoa...
Baadhi ya viongozi wakubwa duniani ikiwemo Marais, Viongozi wa kidini na wengineo wamekuwa na utaratibu wa kutumia huduma za mitandao ya kijamii na simu za mkononi kuwasiliana na watu.Rais wa Kenya,...
View ArticleList ya Simu 10 Bora Zaidi Duniani Kwa Sasa Ipo Hapa...
10 best mobile phones in the world today10. Google Nexus 509. Samsung Galaxy s508. Sony Xperia Z307. Nokia Lumia 152006. Sony Xperia Z3 Compact05. Iphone 6 plus04. Samsung Galaxy Note 403. LG G302....
View ArticleMastaa watano Yanga ruksa Simba.
Mchezaji wa Yanga, Haruna Niyonzima.Na Wilbert MolandiWAPO sokoni! Hivi ndivyo utakavyoweza kutamka baada ya wachezaji watano wa Klabu ya Yanga kubakiza miezi sita au chini ya hapo kwenye mikataba yao...
View ArticleRihanna kuigiza filamu ya 'James Bond'
Ripoti zilizotolewa na gazeti la Sunday Mirror zinaeleza kuwa waandaaji wa movie za Bond wamemuomba Rihanna kuigiza kama ‘Bond Girl’ kwenye filamu hizo.Kwa mujibu wa chanzo cha Sunday Mirror, Rihanna...
View ArticleMagazeti ya leo Nov 6 2014 Udaku, Michezo na Hardnews.
Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo........................
View ArticleWanajeshi wa Libya wafukuzwa Uingereza.
Wanajeshi kutoka nchini Libya wamerejeshwa nchini kwao kutokana na kukosa uadilifu wakiwa mafunzoni Uingereza huku wengine wakituhumiwa kufanya vitendo vya ukatili wa kimapenzi.Wanajeshi hao waliokuwa...
View ArticleMourinho: Ni Upuuzi Kujivunia Ushindi Wa mabao Sita Kwa Sifuri
Meneja wa klabu ya Chelsea, Jose Mourinho amesisistiza kutojali ushindi wa mabao sita walioupata wakati wa mchezo wa mzunguuko wa tatu wa ligi ya mabingwa barani Ulaya dhidi ya NK Maribor na badala...
View ArticleMSANII WA BONGO MUVI AMEKUFA AKITAJA JINA LA MSANII MWENZAKE MAINDA.
Stori: Imelda MtemaMSANII aliyefariki dunia hivi karibuni mjini Morogoro, Sherry Magali, anadaiwa kuwa alikuwa akilitaja jina la Ruth Suka ‘Mainda’ kila mara hadi alipofikwa na umauti.Marehemu Sherry...
View ArticleInabidi ujue kabisa kwamba ukiingia Mlimani City na gari lako utakutana na hii
Mlimani City ni Shopping Mall ambayo ni maarufu kuliko zote za Tanzania kwa sasa, ni sehemu ambayo ina mkusanyiko mkubwa wa maduka na migahawa mbalimbali ambayo kwa miaka ya karibuni imesaidia kuleta...
View ArticleMwanafunzi afariki kwa viboko…
Mwanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya msingi ya Kiuu Kenya amefariki dunia baada ya kupigwa na mwalimu wake kwa kufeli somo lake la Kiswahili.Familia ya mtoto huyo Joseph Waburi mwenye umri wa...
View ArticleSerikali Yaombwa Kurekebisha Sheria Inayoruhusu Mwanafunzi Mjamzito Kufukuzwa...
Chama cha wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimeitaka serikali kufanya marekebisho ya sheria inayoruhusu mwanafunzi mjamzito kufukuzwa shuleni ili ziendane na wakati uliopo na wanafunzi wanaopata...
View ArticleMbeya,Kuhusu Kijana Aliyewauzia Watu Nyama Ya Mbwa.
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linamshikilia mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Ahadi Jesikaka Mkazi wa Kijiji cha Ngyekye kwa kosa la kuwauzia watu nyama ya mbwa. Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya...
View Article