Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

HII NDIO KAULI YA SHETA BAADA YA KUULIZWA KAMA ANAWEZA KUFANYA KAZI NA ALLI KIBA.

$
0
0
Sheta ambaye ni miongoni mwa wasanii wanaofanya kazi na hit makers wa bongo kwenye nyimbo zake amezungumzia uwezekano wa collabo na Ali Kiba Kwenye exclusive interview na @sammisago.


Swali> Sheta Unampango wa kufanya wimbo wa Ali Kiba 

Jibu [Sheta]> Sijafikiria kufanya kazi na Ali Kiba,Kwa sasa sina mpango wa kufanya wimbo na msanii wa nyumbani, naangalia International au nifanye wimbo mwenyewe, 

Swali> Tungependa kujua wasanii wa nje unaopanga kufanya nao kazi 

Jibu [Sheta]> Wako kama watano, uongozi unaangali yupi anafaa na atapatikana, siku tayari kusema majina sasa ila wimbo uko tayari. 


Chanzo:Sammisago

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles