
Serikali ya Uganda ilipitisha sheria ya ‘Anti-ponography’ ambapo kusambaa kwa picha hizo kunamtia hatiani jamaa huyo kwa kuvunja sheria hiyo,iwapo atakutwa na hatia adhabu yake ni faini ya mil. 50 za Uganda sawa na dola shilingi elfu 20 au kifungo cha miaka 10.
Frenklin anatafutwa kwa kuvujisha picha hizo ambapo inasemekana kuvunjika kwa uhusiano wao kumepelekea jamaa huyo kuvujisha picha hizo.
Credit:Millardayo.