Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

MASKINI HUYU MSANII WA FILAMU ZA BONGO! HAYA NDIO MANENO YAKE JUU YA LULU.

$
0
0
Msanii wa bongo movie Diana Kimaria ameibuka na kukanusha vikali kuwa kamwe hawezi kuliwa uloda na mwanaume aliyempitia rafiki yake Lulu Michael kwa sababu kwani wao ni zaidi ya rafiki.

Akizungumza na gazeti namba moja nchi kwa habari zaa uchunguzi la Maskani Bongo baada ya kutokea taarifa kuwa amekuwa akiiba wanaume za rafiki zake akiweo huyo Lulu, Diana alisema" Katu siwezi kufanya hivyo hivyo mwanaume yeyote anaemla uloda LULU mimi ni shemji yangu hivyo siwezi fanya upuuzi huo" Alisema Diana ambae amewahi kuishi kinyumba na msanii fuska Manaiki Sanga zaidi ya nusu mwaka huku Mama yake na Diana akitoa baraka za wawili hao kuoana kabisa.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles