Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

KUHUSU KUMKATA MAMA YAKE SIKIO HII NDIO KAULI YA DUDU BAYA.

$
0
0
Siku ya jana zilisambaa habari katika mitatandao kuwa Mwanamuziki Dudubaya Amemkata Mama yake Masikio na amekimbia na kujificha huku Polisi wanamtafuta.

Dudubaya Amehojiwa na Gossip Cop na kusema hata yeye anazisikia hizi habari na kupigiwa simu tu hajui chochote na wala hatafutwi na Polisi...Lakini amesema anajua wanao sambaza hizo Story ni ndugu zake mwenyewe ambao wanamuonea wivu baada ya kumjengea mama yake Nyumba.....

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles