Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Mrusi Mikhail Khalashnikov aliyevumbua bunduki aina ya AK-47 afariki dunia.

$
0
0
Khalashnikon amefariki akiwa na umri wa miaka 94, na anakumbukwa kwa mchango wake mkubwa na majeshi mbalimbali duniani kote kwa kuivumbua silaha ambayo imekuwa ikitumika zaidi na majeshi hayo.
Jina AK limetokana na kifupi cha maana ya lugha ya kirusi ‘Khalashnikov’s Mashine gun’, na 47 inamaanisha mwaka ambao ilianza kutumika, kwa kuwa ilianza kutumika mwaka 1947.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles