
Kwa mujibu wa Standard Digital, Kidum ameeleza hayo katika mahojiano aliyofanya Sofia Wanuna wa KTN, lakini hakutaja kinachomsumbua na kumfanya ahitaji kufanyiwa upasuaji.
“Sitaki kuwapa mapararazzi maelezo kama hivi waandike gossip kuhusu hili. Lakini ninahitaji kufanyiwa upasuaji.” Amesema Kidum.