Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all 2632 articles
Browse latest View live

MASKINI DIAMOND AUUMBULIWA NA PEDESHEE CHEAF KIUMBE.KUMBE HAWA WASANII MAGARI WANAYOTEMBELEA WANAAZIMA.

$
0
0

Pedeshee Maarufu ajulikanae kwa jina la Chief kiumbe ameibuka na kuzua jambo kuwa lile Prado
Diamond alilopiga nalo picha week kadhaa zilizopita na kusema ni gari yake mpya kuwa si ya Diamond bali ni Gari lake yeye..

Chief kiumbe Amesema haya hapa chini:

Unajua mimi huwa sio mtu wa kuzungumza sana ila ukweli ni kwamba wasanii wengi wa hapa bongo wanatembelea magari yangu, na wala hawatoi hela yoyote,kwa mfano Diamond anamiliki gari yangu mpya ambalo nilinunua zaidi ya shilingi milioni 245 kipindi niko nje kiziara, nafanya hivi kwasababu ya upendo na pia wapo wasanii wengi tu, kuna wengine wanajitamba kwamba wamenunua ila sio kweli mimi ndio ninawapa bureee watembele hizo habari za kwamba wananunua hakuna kitu kama hicho,mimi napenda watu wafuate nyayo za Diamond naamini watafanikisha ndoto zao” – Kiumbe. 

KUTANA NA MWANAMKE MFUPI KULIKO WOTE DUNIA...AVUNJA RECORDS.

$
0
0



Meet The World's Shortest Woman, Jyoti Amge

When Ranjana Amge was in the final months of her fifth pregnancy, she feared that she’d never hold that baby in her arms.

The doctor’s exams didn’t go well. Experts didn’t know what to make of her sonograms. Something was wrong.

Now, 20 years later, Amge has reason to be proud. Her youngest daughter is happy, healthy and world famous.

“All the bad feelings are erased, replaced by good ones,” Amge tells The Huffington Post. “We are lucky.”

At just under 25 inches tall, Jyoti Amge of Nagpur, India, is the world’s shortest woman. She’s a college-bound student, with dreams of making it as an actress. Still, she weighs just 12 pounds — only nine pounds more than she did at birth.

Even among dwarfs, Amge is tiny. “Game Of Thrones” star Peter Dinklage is more than twice her height. But Amge remains an optimist.

“It’s hard for me to reach things,” Amge says. “It’s good I have brothers and sisters to help.”

On her first trip to New York, Amge visited the Statue of Liberty, before a media tour to launch the Guinness World Records 2014 edition, which would include a profile in the Daily News, a visit to the ladies of “The View” and a press conference at the top of the Empire State Building.

MSANII WA BONGO MOVIE ASIMULIA ALIVYO HONGWA TSH MILION 5 ILI AFANYE MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE.

$
0
0
Msanii anayeuza nyago kwenye filamu za
Kibongo, Coletha Raymond ‘Koleta’
amefunguka kuwa analaani mastaa
wanaokubali kutumiwa kimapenzi kinyume na
maumbile akidai kuwa wapo ambao
wamekuwa wakifanya kitendo hicho kwa tamaa
ya pesa.
Akiongea  na gazeti la Ijumaa, Koleta alisema
anachukizwa na tabia hiyo kwani ni uchafu na
kujidhalilisha kulikopitiliza.
“Wanaume siku hizi ni matapeli sana, wengi
wanataka kuwatumia wanawake kinyume na
maumbile hivyo wasanii wa kike tuwe macho.
Alishawahi kunitokea mwanaume mwenye
heshima zake, alinipigia simu na kuniambia
licha ya kuwa na mke kuna vitu anavikosa.
“Nilipomuuliza ni vitu gani akaniambia anataka
anitumie kinyume na maumbile na nichague
zawadi isiyopungua milioni tano aniletee,
nikakataa na kumwambia sifanyi biashara
hiyo, ukweli mimi nakemea na ninawachukia
sana wanaofanya mchezo huo,” alisema
Koleta.

VIDEO:CHEKI YALIYOMTOKEA DEREVA MBISHI WA LORRY HUKO MOROGORO DARAJA LILILOSOMBWA NA MAJI.

$
0
0
Huyu Dereva alionywa asipite yeye akajifanya comando John akawasha gari na kujaribu kupita
...kifika katikati lorry lote likazama ...hata sijui kama alipona huyu...angalia hii video ujionee .

NYOKA MKUBWA AINA YA CHATU AKUTWA AMEKUFA NDANI YA BONETI YA GARI NDOGO.

$
0
0
Joka kubwa aina ya chatu la kutwa limekufa ndani ya bonneti ya gari ndogo, joka hilo lilikufa ndani ya boneti kwasababu ya kuungua kutokana na joto kali la engine.,,kuweni makini mnapo fungua bonet za magari unaweza kuta hajafa akakugonga...

PENNY:DIAMOND KAMA CHIZICHIZI VILE.

$
0
0

Stori: Imelda Mtema na Erick Evarist
MTANGAZAJI wa Runinga ya Channel Ten, Penniel Mungilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa sifa ya
aliyekuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ni kama chizichizi lakini kwa undani zaidi ni mtu makini.

Penny alifunguka hayo mbele ya kinasa sauti cha Ijumaa Wikienda hivi karibuni ambapo mbali na kutamka kauli hiyo, alifunguka mambo mengi yaliyohusu penzi lao ambalo alilitaja kuwa wamelipumzisha kwa kupeana nafasi.
Akizungumzia sifa za staa huyo aliyeogelea naye penzini kwa kipindi cha mwaka mmoja na ushee hivi, Penny alisema watu wote wanamjua Diamond ni kama chizichizi vile kutokana na mapepe anayoyafanya akiwa mzigoni lakini linapokuja suala la uhusiano, anakuwa makini sana.
“Diamond ni kama chizichizi vile lakini kwa ndani ni mtu makini sana. Anajua kulea, anajua umuhimu wa mapenzi na anaelewa anatakiwa kumfanyia nini mpenzi wake anapokuwa nyumbani, anajali,” alisema Penny na kuongeza:

“Watu wamuanavyo nje na jinsi alivyo katika maisha ya kawaida ni tofauti kabisa, mapepe anayafanya anapokuwa jukwaani na sehemu nyingine zinazohusu kazi yake na si nyumbani.”
Katika aya nyingine, Penny alitiririka na mistari kuwa, baada ya kuona penzi lao limetawaliwa na misukosuko, walikaa chini kwa pamoja na kuamua kupeana nafasi ya kila mmoja wao kufanya mambo yake, hakuna kati yao aliyemtamkia mwenzake kuwa sikutaki.
Alisema katika maisha huwa hapendi vitu vya kuambiwa, hata aliposikia taarifa za Diamond kurudiana na Wema kwa mara ya kwanza nchini China, hakuamini hadi walipokuja kukaa naye na kuzungumza ndipo walipoamua kupeana nafasi.


Hata hivyo, Penny alisema anaamini kuwa Diamond amerudiana na Wema lakini yeye kwa sasa ‘bado yupoyupo sana’, akakiri kuwa anatongozwa na watu tofauti na endapo ikitokea akaamua kuanzisha uhusiano mpya, hatahitaji mtu maarufu kwani anahitaji maisha yake kuwa ya siri, tofauti na zamani. 
GPL

MCHUMBA WA MTU AAGA ANAKWENDA KWA BIBI YAKE MGONJWA KUMBE ANAENDA KUUZA MWILI WAKE..AKAMATWA.

$
0
0

Stori: Issa Mnally na Dustan Shekidele, Morogoro
OPARESHENI Fichua Maovu (OFM) ya Global
Publishers si mchezo! Safari hii imenasa tukio la mchumba wa mtu aliyetajwa kwa jina moja la Jose kuuza mwili.

Tukio hilo lilijiri eneo maarufu la Baa ya Kaumba iliyopo katikati ya mji kwenye Mtaa wa Makongoro, mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo OFM na polisi walikuwa kwenye oparesheni za kufichua uovu wa biashara haramu ya ngono.

Kwa mujibu wa mchumba huyo katika mahojiano na OFM, aliaga kwao Kilosa kuwa anakwenda Morogoro mjini kumuuguza bibi yake ambaye ni mgonjwa.


OFM NOMA: Mchumba wa mtu na wenzake wakiwa mikononi mwa OFM na Polisi.

Tofauti na matarajio ya familia yake, mrembo huyo alikwenda kukita kambi maeneo hayo akijihusisha na biashara hiyo haramu eti kwa madai ya kusaka fedha ya kununulia sare za harusi yake ambayo inatarajiwa kufanyika Februari 15, mwaka huu.

Jumatano iliyopita, OFM ilipokea simu kutoka kwa dada mmoja ambaye alieleza kuwa kuna ‘shori’ ambaye ni mchumba wa mtu anajiuza katika viunga vya Kaumba.

Dada huyo aliendelea kueleza kuwa yeye ni mmoja wa wajumbe katika kikao cha harusi ya dada huyo huku akiwa ameshachangia shilingi elfu 50 lakini alishangaa kumuona maeneo hayo hatarishi.

“Niamini mimi, tunakaa naye Mji Mpya (Morogoro). Hata fedha za advance ya ukumbi, vinywaji, MC na muziki tumeshalipa na harusi yake inatarajiwa kufanyika Februari 15, mwaka huu.
Baada ya kunyetishiwa habari hizo, kikosi kazi cha OFM kiliingia mzigoni kwa kushirikiana na dada huyo ambaye alivalishwa ‘beji’ yao na kufanikisha kunaswa kwa mchumba huyo.

OFM ikishirikiana na polisi wanaojua kujituma kwenye majukumu yao walimtia mbaroni dada huyo akiwa katika pilikapilika zake za kunasa wanaume huku mmoja wa vijana wa OFM akijifanya mteja na kupatana naye bei ya kuingia chumbani kwa ‘shoti taimu’.

Baada ya kunaswa, mwanadada huyo alikiri mbele ya OFM kuwa ni bibi harusi mtarajiwa.
“Jamani… jamani ni kweli mimi ni mchumba wa mtu, shetani ameniponza nisameheni,” alisema.

Hata hivyo, kilio chake kiligeuka cha samaki kwani hakikusikika, yeye na wenzake walionaswa walipelekwa moja kwa moja katika kituo kikuu cha polisi ili kupisha sheria ichukue mkondo wake. 


ETI HUYU NDIO MWANAMKE MWENYE MWILI WENYE THAMANI KUBWA KULIKO WANAWAKE WOTE DUNIA.

$
0
0

Her name is Amanda Lepore, a transsexual who has been tagged as 'the most expensive body on earth'.


The 46 years old blonde had a sex change operation from male to female when she was 19, and ever since then, she has gone under the knife for all sorts of extreme plastic surgery procedures.

The busty party-girl has had three breast augmentations, butt implants, multiple nips and tucks, lip injections, fillers, nose job, forehead life, botox and had her hairline lowered; she even had her bottom ribs broken to achieve a smaller waist and a perfect hourglass statistics of 38-22-38.
Speaking on her sex change procedure, she described it as the most painful procedure she has ever done.

She has however refused to disclose just how much she has spent in total on all her procedures, responding instead with "There is a reason I am labelled 'The Most Expensive Body On Earth'".



KUWA WA KWANZA KUTAZAMA MABASI YAENDAYO KWA KASI JIJINI DAR ES SALAAM.

MASKINI....MSANII WA BONGO MUVI AJINYONGA GEST.

$
0
0

Marehemu Victor Peter enzi za uhai wake.

MSANII Victor Peter kutoka Bongo Movie amefariki dunia usiku wa juzi kuamkia jana 28/01/2014 kwa kujinyonga katika gest moja iliyotambulika kwa jina la SAFARI JUNIOUR ilioko maeneo ya Kisosora huko mkoani Tanga.

Mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospitali ya mkoa wa Tanga Bombo,tulipofatilia tukio hilo ilifanikiwa kuongea na mmoja kati ya wasanii walioshirikishwa na marehemu katika filamu yake ya
mwisho kabla ya kujinyonga huku filamu yake ya kwanza ikiwa bado haijatoka na kuingia sokoni yenye jina la CHOZI.

Msanii huyo aliyetambulika kwa jina la usanii Koba aliiambia kwamba siku moja kabla ya tukio Victor alifanya nao Shuting ya filamu iliotambulika kwa jina OUR FAMILY ambayo ilikuwa ndio filamu ya marehemu Vicktor ya pili tangu ajikite katika tasnia ya filamu Bongo Movie,

MSEMAJI

Cha kushangaza ni kwamba filamu hiyo muhusika mkuu alikuwa ni marehemu Vicktor na katika filamu hiyo alicheza kwamba kuna msiba baba yake kafa na yeye mwenyewe mwisho wa filamu Picha yake hiyo mnayoiona hapo juu ilipigwa Ex na muhusika aliyecheza kama mdogo wake, Matokeo yake alivyomaliza kushut aliondoka na wasanii kadhaa wakaelekea katika ATM iliokwepo maeneo ya mjini kutoa hela ili awalipe wasanii walihusika katika kazi yake,

KABLA YA TUKIO

Kwa bahati mbaya ATM machine ikagomagoma kwa tatizo kidogo la kimtandao katika kusubiria mtandao ukae sawa marehemu Vicktor alibadilika na kuonekana kama amechanganyikiwa na kuonekana hayuko sawa, Basi kwa bahati nzuri baada ya mda mchache ATM ilikaa vizuri na yeye mwenyewe ile hali ikatulia akatoa hela wakaelekea Hospitali ya Ngamiani huko mkoani Tanga,
Kufika Ngamiani daktari akatoa tamko kwamba apelekwe Hospitali kuu Bombo. 

UCHUNGUZI

Kufika Bombo akapimwa kila kitu na kukutwa mzima hana tatizo lolote lile ikabidi warudi Gest walikofikia huko maeneo ya Kisosora, Marehemu akawalipa wasanii wote na kuwauliza kuwa kuna mtu anaemdai? Wakamjibu hakuna. Kila msanii akaingia chumbani kwake na kuendelea na zake, Kwa wakati ule marehemu aliingia chumbani kwake na kwakuwa ni Self Contain si rahisi kumuona mtu akitoka nje hovyo hovyo.

TUKIO

Asubuhi yakuamkia jumanne 28/01/2014 Wasanii wenzake walimgongea mlango wakaona kimya wakapatwa na wasiwasi ikabidi wamuite mwenye Gest na kusimulia hali halisi mwenye Gest akachukua jukumu la kwenda kutoa taarifa kwa mwenye kiti wa Serikali za mitaa mwenye kiti akatoa taarifa Polisi, Gari ya Polisi ikatia timu katika eneo la tukio na kuvunja mlango wakakuta mwili wa marehemu Victor ukiwa umening'inia kama unavyoonekana hapo pichani alitumia mkanda wake mwenyewe wa kiunoni kujinyongea. Vicktor kajinyonga na kuiaga dunia.
MWILI WA MAREHEMU


Mwili wa marehemu umehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali kuu ya mkoa wa Tanga Bombo. Marehemu ni mkazi wa mwanza na ameacha mke na mtoto mmoja, Mpaka sasa baadhi ya ndugu wa marehemu tayari wameshafika na wengine wanatarajiwa kufika kesho wa taratibu za kusafirisha mwili kwa maziko. 'Alisema Koba'
tunawapa  pole ndugu jamaa na marafiki waliofikwa na msiba huo, M/mungu ailaze roho ya marehemu mala pema peponi. R.I.P Vicktor.

WASTARA ALIA NA WAANDISHI WA HABARI.

$
0
0
Wastara: Naomba waandishi waandike habari za uhakika, tangu Sajuki afariki nazushiwa nimeolewa Muigizaji wa kike wa filamu za kiswahili, Wastara Juma amesema tangu mme wake Juma Kilowoko aka Sajuki afariki anakutana na changamoto nyingi kwenye mazingira yaliyomzunguka kwa sasa.

Akizungumza na tovuti ya Times FM 100.5, Wastara amesema tangu Sajuki afariki kumekuwa na taarifa zisizo za kweli zinazodai  kwamba amepata mume.
"Nina changamoto nyingi sana,unajua siku zote kama mtu ukitaka kuheshimiwa basi heshima ndio msingi wa maisha,lakini tangu mume wangu afariki (Sajuki)kumekuwa na maneno mengi sana kwenye magazeti,mara nimeolewa sijui nimevishwa pete na ukija kuangalia mtu aliyeandikia hiyo habari unamjua na ukimpigia simu anaanza kukukwepa. Kama habari za kuolewa siwezi kwanza kutangaza,  naomba waandishi waandike habari za uhakika ili ujumbe ufike mzuri kwa wananchi wanaotutazama sisi Wasanii." Amesema Wastara.
Katika hatua nyingine  Wastara amesema mwaka huu amejipanga vizuri katika kutoa filamu zake mpya sinazotarajia kutoka hivi karibuni.
"Mwaka jana mwishoni nilijikita sana kwenye kuandaa filamu mpya za kwangu na nyingine nimeshiriki kwa hiyo mashabiki wakae tayari."

Penny:Najaribu kutafuta mwanaume aliye mkamilifu kidogo, najua yuko sehemu.

$
0
0
Penny amefunguka katika mahojiano aliyofanya na mtandao wa Bongo5 kuhusu maisha yake kwa ujumla na uhusiano wake na Diamond Platinumz ambaye hivi karibuni ameonekana kurudiana na mpenzi wake wa zamani ‘Wema Sepetu’.
Msichana huyo mrembo alisema bado hajafikiria kuwa na mwanaume mwingine, “bado, si kwamba sitongozwi, wanaume wanakuja lakini najaribu…hakuna mwanaume mkamilifu, najaribu kutafuta mwanaume anayeweza kuwa mkamilifu kidogo najua yuko sehemu.”
Penny ambaye hivi sasa maisha yake yako kwenye spotlight akifuatiliwa na kuandikwa kila anapofanya jambo, hali iliyosababishwa na kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Diamond, amedai kuwa anatamani arudie maisha yake ya zamani ambayo yalikuwa ni maisha ya faragha.
“Napenda kurejea kwenye maisha niliyokuwa nayo, it was much fun, napenda maisha yangu ya faragha.” Penny ameuambia mtandao huo.
Akizungumzia kuhusu kinachoendelea hivi sasa kati yake na Diamond amesema alihisi anahitaji kumpa nafasi mwimbaji huyo, na kwamba hadi sasa wawili hao wamepeana nafasi ili kila mmoja afanye mambo yake.
“Kama uhusisiano wowote ulivyo, kuna mwanzo na mwisho na watu wanaachana kwa sababu nyingi. Nilihisi kwamba nahitaji kumpa nafasi, wote ni vijana na wakati mwingine tunahitaji nafasi kugundua vitu vipya, kuona kipi hasa unachokihitaji katika maisha. Unajua ukimruhusu ndege afanye vitu mbalimbali then unajua kama ‘mti huu ndio unanifaa, mti huu haunifai’. Hivyo nilihisi wote tulihitaji hicho, tulihitaji space hivyo nikampa nafasi na mimi kuchukua nafasi.”
Amedai kuwa alipoona picha za Diamond akiwa na Wema Sepetu, alishituka kama watu wengine walivyokuwa surprised lakini alipomuuliza Diamond alimwambia walikuwa wanafanya ‘movie’. Mrembo huyo bado anaisubiri movie ya Diamond na Wema Sepetu.
Hata hivyo, Penny amedai kuwa mwaka huu anahitaji kujikita zaidi katika kufanya kazi yake, na kwamba anaamini utakuwa mwaka wa ushindi kwake.

NAHISI NIMEAMBUKIZWA HIV..NAHITAJI USHAURI TAFADHALI.

$
0
0

Mimi ni kijana, umri wangu ni kati ya 25-30. Ni mhitimu wa chuo kikuu. Ni msaarabu, najiheshimu na napenda maendeleo.

Nipo kwnye mahusiano imara, japo tupo mikoa tofauti na tupendana sana na girlfriend wangu & recently tumeanza taratibu za utambulisho nyumban japo si rasmi..

hivi karibuni nimepatwa na tukio la ajabu, kuna rafiki yangu wa kike way back toka primary scul tulikuwa tunawasiliana kawaida as normal friends lakin kumbe mwenzangu alikuwa na hisia za mapenz kwngu,,alipoona simtamkii akaamua avunje ukimya, nikamwambia haiwezekan na sabab nikampa..alilia sana akaomba 2fanye kwa siri coz hata yeye ana boyfrnd bt yupo mbal bt nikabak na msimamo wngu..

akaomba tuonane japo tuongee, nikakataa lakin akaforce kuja home (nlikuwa peke yang) coz alikuwa anapajua,,kafika home hana jipya, alipoona nmegoma kabsa akaanza kunfanyia fujo(sexual harassment) akavua nguo zote tufanye ngono, nikajikaza kiume nikamvalisha nguo & nikamtoa nje, too bad nlisahau funguo za gate ikabidi nirud ndan kumbe mwenzang ananfata nyuma pasi na kujua,,akaanza fujo tena & this time nlizidiwa nguvu & we had sex, unprotected sex..i was raped na mwanamke.

Nlilia sana that day nikapanga safar kwnda kumwambia my girl coz hatufichan ki2 (kwnye sim nilishindwa),ucku huo yule mwanamke akantext kuwa nikijaribu kumwacha atamwambia girlfriend wngu, cjui alichukua phone no. mda gani,,ikabid niwe mpole..then akanambia "too late" kuulza ana maana gan akawa anacheka..

nlimwambia my friend lawyer akacma kesi ngumu coz tukio lilitokea hme so ngumu kuprove a rape..after 1 month nikaanza kupata symptoms za ajab, nikaenda kuchek STI (ckupima HIV) nikawa sina bt nlipata UTI,

nkafuatilia zile dalili na kugundua ni related na Acute HIV, nkaogopa sana, nikaanza kumkwepa girlfriend wang kila akipanga safar natfta excuse, nia yangu itimie 3 months...i knw knowldge z power & najua kila kitu kuhusu HIV japo si dokta, 

najua i can live 30 years, najua the cure is near or imepatikana bt held in disguise,berlin patient,missisipi baby(cured of HIV) bt God AM FREAKED OUT, juz imetimia 3 months naogopa kwenda kupima, ntamwambia nin girlfrnd wng kama nmeathirika, ataniacha,,i'l be alone...am not too weak to kil myself or kill anyone..nmeamua kumsameh aliyenfanyia huu uchaf nmemwachia Mung,,all my life nimeishi vizur(mbal na vishawish) only God knows haya majaribu yana maana gani,,

Nimechanganykiwa naombeni msaada wa mawazo, nmejiunga huku walau niitoe moyoni nipate relief coz naogopa kuambia watu...I've got no one to talk to kuhusu hii ishu.

MAJANGA.ONA ETI HII NDIO BAR YA KISASA.UNAKUNYWA BIA KUTOKA KWA BOMBA NA CHINI UNAKOJOA.

MWANAMKE ALIYE PANGA NJAMA ZA KUMUUA MUMEWE ILI AFAIDI MALI ZAKE AENDELEA KUSOTA RUMANDE.

$
0
0

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha jana imekataa ombi la hati ya dharura ya dhamana ya mke wa
mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha, Janeth Jackson (32), anayedaiwa kupanga njama za kumuua mumewe wa ndoa.Janeth na mshitakiwa wa pili, Novatus Elias kupitia Wakili wao, Samsoni Rumende waliwasilisha hati hiyo katika Mahakama Kuu, kuomba dhamana baada ya mahakama ya wilaya ya Arusha iliyoko Sekei, kuwanyima dhamana.

Mahakama iliwanyima dhamana washitakiwa hao, kwa maelezo kuwa kufanya hivyo ni kuharibu kesi, kwani kuna watuhumiwa wengine hawajakamatwa.
Hata hivyo, Jaji Mary Moshi alikataa kumjumuisha mshitakiwa wa pili katika hati hiyo, kwa maelezo kuwa wakili hakumjumuisha katika hati.
‘’Katika hati ya dharura, naona jina la mshitakiwa wa kwanza tu ndiye anayeombewa dhamana, lakini jina la mshitakiwa wa pili, Elias, haliko hivyo siwezi kusikiliza kwa kuwa ni kinyume na utaratibu,’’ alisema Jaji Moshi.

Pamoja na hayo, Jaji Moshi alimnyima dhamana Janeth kwa maelezo kuwa Wakili Rumende amefanya makosa ya kisheria, kwani alipaswa kukata rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama ya wilaya wa kumnyima dhamana mteja wake.
Alisema kuomba hati ya dharura ya kuomba dhamana, sio utaratibu wa kisheria na kutokana na hali hiyo, alimtaka wakili huyo kwenda kujipanga upya .
Awali akizungumza mahakamani hapo, Rumende alimwomba Jaji Moshi kumpa dhamana mteja wake, kwani ana mtoto mchanga wa miezi mitano.
Rumende alidai kuwa dhamana ni haki ya msingi ya mteja wake na hawezi kuathiri mwenendo wa kesi na atatii masharti ya dhamana kwa jamii, inayomzunguka bila ya wasiwasi wowote.
Hoja hizo zilipingwa vikali na Wakili wa Serikali, Edana Kasala aliyedai kuwa utaratibu umekiukwa na pili mahakama ya wilaya iko sahihi kuwanyima dhamana washitakiwa hao.
Janeth ambaye ni mkazi wa Moshono, jijini Arusha pamoja na Novatus Elias, katika kesi hiyo katika mahakama ya wilaya, wanashitakiwa kwa kula njama ya kutaka kumwua Jackson Manjuru ambaye ni mume wa Janeth.
Washitakiwa wote wawili pia wanadaiwa kutenda kosa la kula njama na kutaka kumwua Desderi Sabas, anayeishi Bukoba mkoani Kagera, ambaye ni mtoto wa nje wa mume huyo.

Washitakiwa wote hawakutakiwa kujibu lolote mahakamani hapo, kwa sababu Mahakama hiyo kisheria haina mamlaka ya kusikiliza kesi za mauaji. 

WEMA,DIAMOND WAFUNGIWA KAZI!, MAMA WEMA AWASAKA MTAA KWA MTAA.

$
0
0

HABARI mpya! Mama wa Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac Sepetu, Mariam Sepetu anadaiwa kuingia
rasmi mitaani akiwasaka wapenzi, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Wema, chanzo cha uhakika kimesema na Amani.
Kwa mujibu wa chanzo hicho makini, mama Wema ameamua kuchukua uamuzi huo baada ya kusikia taarifa kutoka kwa watu kwamba, Diamond amekuwa akisambaza maneno mitaani kuwa haogopi vitisho vya mwanamke huyo kufuatia hatua yake ya kumrudia binti yake.
ILIKUWAJE KWANI?
Hivi karibuni, mama Wema alizungumza na gazeti tumbo moja la hili, Ijumaa Wikienda linalotolewa na Kampuni ya Global Publishers Ltd kila siku ya Jumatatu na kusema kitendo cha Diamond kumrudia bintiye hakubaliani nacho.
Aliongeza kuwa, kufuatia hatua hiyo iko siku ataingia mtaani kumsaka Diamond na popote pale atakapomnasa, atamkata na panga.

TURUDI KWA CHANZO
“Jamani si mnakumbuka juzikati mama Wema alisema atamsaka Diamond? Sasa amesikia Diamond anatangaza mitaani kwamba, hatishiki na tamko la mama mkwe wake huyo na watakapokutana watajua nani zaidi.
“Hivi ninavyosema, mama Wema ameingia mtaani kuwasaka. Lengo lake awakute wote wawili ili awaanzishie timbwili la kufa mtu.
“Tangu Ijumaa iliyopita, kila siku anatoka kwenda mitaani kuwasaka, naamini siku akiwakuta pamoja kweli itakuwa vita kubwa,” kilisema chanzo chetu.

KWA NINI ASIENDE NYUMBANI?
Chanzo kilipoulizwa kama kweli mama Wema amepania kuwanasa wawili hao, kwa nini asiwafuate nyumbani kwa binti yake, Kijitonyama, Dar ambako wanapika na kupakua, kilijibu:
“Ameweka mtego wake pale, bahati mbaya sana Diamond naye anaishi kwa machale. Kuna siku anakwenda kulala kuna siku haendi. Huenda na yeye (Diamond) ameweka watu wake ndani kwa Wema wa kumpelelezea kama mama Wema atakwenda au ana dalili za kwenda.”
Chanzo kikaendelea: “Siku hizi Diamond anaweza kwenda kwa Wema, akaacha gari lake na kutoka na la Wema na kurudi kwake usiku sana.”

AMANI LAWASAKA WAHUSIKA
Baada ya kuzinyaka nyeti hizo, Amani liliamua kuutafuta ukweli ambapo Jumanne iliyopita lilimsaka mama Wema kwa njia ya simu lakini iliita bila kupokelewa. 
Amani lilitumia simu zake mbili kumpigia mwanamke huyo.
Baada ya dakika tano, mama huyo mwenye ‘machungu’ na mwanaume yeyote anayemchezea bintiye alituma ujumbe mfupi wa maneno (SMS) akisema: Nipo msibani tuma sms. Pia akatuma sms kwenye simu ya pili akisema: Nipo msibani, ulikuwa unasemaje?
Amani lilimtumia madai yote kuhusu yeye kuanza kuwatafuta Wema na Diamond, pia likamjulisha kwamba kama anawatafuta kweli, muda huo, wawili hao walikuwa wapo chumbani kwa Wema hawajaamka.
Hata hivyo, mama Wema hakujibu meseji yoyote kati ya hizo mbili hali iliyotafsiriwa na Amani kuwa, uchungu wa msiba ulimuondolea uwezo wa mawasiliano.

NYUMBANI KWA DIAMOND
Mapaparazi wetu walitia timu nyumbani kwa Diamond, Sinza-Mori na kukutana na mtu mmoja aliyedai ni mjomba wa staa huyo ambaye alidai Diamond Platnumz alitoka asubuhi na mama yake, Sanura Kassim kwenda Tegeta, Dar.
NYUMBANI KWA WEMA
Baada ya kutoka nyumbani kwa Diamond huku wakiamini Mbongo Fleva huyo kaenda Tegeta kama alivyosema mjomba mtu, mapaparazi walikwenda nyumbani kwa Wema.
Baada ya kugonga geti kwa dakika moja, alitokea mlinzi na mambo yalikuwa kama ifuatavyo; 
Paparazi: Mambo?

Mlinzi: Poa, karibu.
Paparazi: Asante, nina shida na Wema, sijui nimemkuta?
Mlinzi: Wamelala, hawawezi kuamka muda huu.
Paparazi: Wamelala? Nani na nani?
Mlinzi: Madam (Wema) na Diamond.

Paparazi: Ina maana Diamond yumo ndani?
Mlinzi: Si nimekwambia wamelala?
Paparazi wetu alifanikiwa kupenyeza macho kwenye nafasi ya uzio na kuyaona magari ya wote wawili, la Diamond aina ya Toyota Land Cruiser V8 na la Wema, Toyota Lexus Harrier.
Imeandikwa na Musa Mateja na Shakoor Jongo.

SHILOLE AJIWEKA KWA MZUNGU..ASEMA "NILIPOTAKA NIMEFIKA SASA"

$
0
0

Na Gladness Mallya na Hamida Hassan
KWA mara ya kwanza msanii wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amenaswa akiwa na mwanaume wa Kizungu anayedaiwa kuwa ndiye mchumba wake.


Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa, safari za mara kwa mara za Shilole nchini Uingereza zimekuwa zikisababishwa na mchumba huyo wa Kizungu ambaye huwa anamuita kufurahia penzi lao pamoja na kumtafutia shoo mbalimbali.

“Ukweli ni kwamba Shilole ana mchumba wa Kizungu na walikutana kwenye shoo ya mara ya kwanza aliyoenda kufanya nchini Uingereza na hivi karibuni ataenda tena na amealikwa na huyo mchumba wake,” kilisema chanzo hicho.

Gazeti hili limekuwa la kwanza kunasa picha kadhaa za Shilole akiwa katika mapozi tofauti ya kimahaba na Mzungu huyo.

Baada ya chanzo hicho kumwaga ‘upupu’ huo, mapaparazi wetu walimtafuta Shilole ili aweze kufunguka ambapo bila kuumauma maneno, alikiri kuwa amepata mchumba huyo aliyemtambulisha kwa jina la Ankar.

Akizidi kumwaga data za boifrendi wake huyo, Shilole alisema awali walikutana kwenye moja ya shoo zake nchini humo ndipo urafiki ulipoota mizizi na kufikia hatua ya kuwa wapenzi.

“Kweli nina mchumba Mzungu ambaye ni raia wa Uingereza, nilipokuwa napataka nimefika, sipindui tena. Unajua muziki wangu na mauno yangu yanawavutia sana watu, siku ya kwanza aliniona kwenye shoo akanipenda ndipo tukaanzisha urafiki.

“Hivi karibuni nina safari ya kwenda nchini humo kwa mwaliko maalum alionipa, nitaenda peke yangu kwani safari nyingine zote zilizopita nilikuwa naenda na watu,” alisema Shilole.
Source:Global Publishers.

Video Mpya:Nameless-African Beauty.

$
0
0
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu,msanii kutoka Kenya 'Nameless' ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa African Beauty.
Itazame hapa.

Obama apinga jeshi la Marekani kwenda kutumikia nchi za nje.

$
0
0
Akizungumza katika hotuba yake ya kila mwaka kwa taifa,rais Obama amesema hatapeleka askari wa nchi hiyo maeneo ya hatari isipokuwa kama atalazimika kufanya hivyo.Amesema Marekani itapigana vita vinahitaji kupiganwa,sio vile ambavyo makundi ya kigaidi vinataka ipigane.
Akiwa amiri jeshi mkuu wa jeshi la Marekani,Obama amesema anatumia jeshi kulinda raia wa Marekani,na kamwe hatasita kufanya hivyo wote atakaokuwa madarakani.

Ac Milan wapata kifaa kipya kutoka England 'Adel Taarabt'

$
0
0
Katika hatua ya mwisho ya usajili wa wachezaji, Klabu ya AC Milan imemsaini kiungo aliyekuwa
akichezea QPR ‘Adel Taarabt’ kwa mkopo kutoka timu ya Daraja la Kwanza England.
Kiungo huyo mshambuliaji wa kimataifa wa Morocco alikuwa akiichezea Fulham kwa makubaliano ya muda,lakini sasa ameungana na vigogo hao wa Serie A.
Viewing all 2632 articles
Browse latest View live