Mwanzilishi wa Instagram ngangari, awashushia rungu wanaoweka picha za utupu.
Mtandao wa kijamii wa Instagram umezidi kuwa maarufu kutokana na jinsi ambavyo unampa nafasi mtumiaji kuionesha dunia taswira yake binafsi au hata kuhusu hisia zake.Hata hivyo watu mbalimbali wamekuwa...
View ArticleILE ISSUE YA TRAFFIC KUVAA SKETI FUPI SASA IKO MAHAKAMANI: TRAFFIC ANADAI...
Koplo wa Kitengo cha Traffiki aliyepigwa picha akiwa amevalia sketi iliyomabana makalio amelazimika kukimbilia mahakamani kuokoa kazi yake.Linda Okello alikimbilia Mahakamani Baada ya wakubwa wake...
View ArticleFASTJET WAMPLEKA DIAMOND SOUTH AFRICA KWENYE TUZO ZA MTV
Kupitia account yake ya Intagram Dimond ameandika hivi:"Asante sana @fastjetofficial kwa kunisafirisha mimi, Familia yangu na team yangu nzima kuelekea kwenye Tuzo za MTV Awards Nchini South Africa.....
View ArticleMSANII H.BABA AUMWA NA KULAZWA: ALIANGUKA AKIJIANDAA KWENDA KUAGA MWILI WA TYSON
Staa wa Bongo Fleva na Bongo Movies, Hamis Baba (H. Baba) ameugua ghafla jana baada ya kuanguka wakati akijiandaa kwenda kuaga mwili wa aliyekuwa muandaaji wa filamu za Kibongo, marehemu Geogre Otieno...
View ArticleMganga Mghana adai amemroga Cristiano Ronaldo awe Majeruhi asicheze kombe la...
Mbwembwe na matukio ya kushangaza yanazidi kuonekana kati ya nchi zinazopeleka timu zao Brazil kwa ajili ya Kombe la Dunia.Mganga wa kienyeji wa Ghana anaejulikana kwa jina la Nana Kwaku Bonsam...
View ArticleShabiki anunua nyumba ya Whitney Houston.
Mapenzi yaliyopitiliza ya shabiki wa muziki wa Marehemu Whitney Houston yamemfanya kununua nyumba ya mwanamuziki huyo na kuahidi kuitunza kwa ajili yake.Nyumba hiyo ya Whitney iliyopo katika mji wa...
View ArticleBaada ya mzozo wa muda mrefu juu ya umiliki wa nyimbo za Bob Marley, hiki...
Mzozo wa kisheria juu ya nani anayemiliki baadhi ya nyimbo maarufu za reggae duniani za Bob Marley umemalizika mjini London.Nyimbo hizo zilizotungwa na kuimbwa na msanii Bob Marley zimekuwa...
View ArticleAlichosema Mhe. Komba baada ya picha kusambaa akiwa na binti chumbani.
Baada ya kusambaa kwa picha ambazo si nzuri katika mazingira ya kawaida zikimuonyesha Mhe. Kaptein Komba akiwa amepiga picha na msichana chumban huku zikimuonyesha msichana huyo amevaa kanga na wakati...
View ArticleHAYA NI MAONI MAZITO KUHUSIANA NA PICHA ZA WABUNGE ZILIZOWEKWA KATIKA...
Kumbe suala la picha za utupu hasa zile waheshimiwa wabunge limeguswa na wengi katika hisia tofautitofauti. Kipindi watu walio wengi wakiwalaumu watu wanaoonekana katika picha hizo kumbe kuna wengine...
View ArticleDIAMOND AZIDI KUDHIHIRISHA KUWA YEYE NI "MSANII MKUBWA WA KIMATAIFA SASA"...
Wote mpaka sasa tunafahamu toka siku nyingi kwamba Diamond Platnumz ni mwimbaji pekee kutoka Tanzania aliechaguliwa kuwania tuzo kwenye tuzo za MTV BASE ambazo zinatolewa leo June 7 2014 hapa Durban...
View ArticleTAZAMA MAONI YA WATU NA UCHANGIE MAONI YAKO JUU YA DIAMOND KUKOSA TUZO ZA MTV
Baada ya Diamond kukosa TUZO za MTV zilizofanyika juzi ya 07/06 ameandika hivi katika akaunti zake za mitandao ya kijamii"Cha muhimu ni kujua wapi tulipokua mwaka jana na wapi tulipo leo… pia kujifunza...
View ArticleMASANJA MKANDAMIZAJI BANA!!!! ETI HII NDO SABABU YA YEYE KUTOPOST TENA PICHA...
Kupitia F/B Masanja Mkandamizaji ameandika hivi:"Naona kuna watu wanahoji kwa nini siweki picha za misiba inayotokea ya ndugu zetu wasanii wa Bongo Movie. Jibu ni kwamba maisha ni mipango na maamuzi....
View ArticleHII NI KAULI YA BUNGE JUU YA PICHA CHAFU MITANDAON: DIAMOND NA WEMA NAO...
Sakata la kusambaa picha zisizokuwa na maadili mitandaoni zikiwemo za watu maarufu hapa nchini leo limezungumziwa tena katika bunge la Tanzania kule Dodoma ambapo katika kipindi cha maswali na majibu...
View ArticlePapa Francis awapokea rais wa Israel na rais Palestina Vatican, Kufanya...
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amewapokea rais wa Israel, Shimon Pez na rais wa Palestina, Mahamoud Abbas katika makao makuu ya kanisa hilo Vatican kwa lengo la kufanya maombi maalum...
View ArticleRihanna apewa tuzo ya 'Most Desirable Woman', Kavin Hart amtania kwa vazi...
Wiki moja baada ya kushinda tuzo ya mitindo ya CFDA kama ‘Fashion Icon of the Year’, Rihanna ametajwa pia katika tuzo za Guys Choice Awards kama ‘Most Desirable Woman’.Tofauti na ilivyokuwa kwenye...
View ArticleJennifer Lopez kutoshiriki ufunguzi wa kombe la dunia Brazil.
Mwanamuziki mashuhuri duniani Jennifer Lopez, amejiondoa katika shamra shamra za ufunguzi wa fainali za kombe la dunia ambazo zitafanyika mjini Sao Paulo siku ya Al-khamisi, kabla ya mchezo wa kwanza...
View ArticleKutana na jamaa kutoka Kenya aliyeamua kujifunga mnyororo kwenye mnara wa...
Unaambiwa kuna jamaa mmoja kutoka Nairobi amesababisha baadhi ya shughuli kusimama kwa saa kadhaa kwenye barabara ya Dedan Kimathi kwa kuamua kujifunga minyororo kwenye Mnara wa shujaa huyo wa...
View Article