Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

HAYA NI MAONI MAZITO KUHUSIANA NA PICHA ZA WABUNGE ZILIZOWEKWA KATIKA BLOGS/WEBSITES

$
0
0
D'jaro Arungu

Kumbe suala la picha za utupu hasa zile waheshimiwa wabunge limeguswa na wengi katika hisia tofautitofauti. Kipindi watu walio wengi wakiwalaumu watu wanaoonekana katika picha hizo kumbe kuna wengine wanojua kufikiri kwa kina wameona wenye kosa kubwa ni waendeshaji na wamiliki wa mitandao(blogs, websites) ambao wanaziruhusu habari/picha hizo kuruka kwa hewa. Kama unataka kusoma makala yote yenye maoni hayo, bofya hapa http://lupojizoissaya.blogspot.com/2014/06/maoni-yangu-juu-ya-kusambaa-kwa-picha.html?spref=fb

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles