Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uwezi Amini Hii Ndio Parking ya Magari ya Zari , Yote ni Magari ya Gharama...

Going by the look of things, Zari Hassan is by far one of the richest socialites in East Africa. Her dating and relationship records suggest and show links with top A-class celebrities which explains...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lulu:Sijawahi Kuwa Mweusi, Rangi ya Mtume Nimezaliwa Nayo.

Mrembo na mwigizaji wa filamu za kibongo, Diana Elizabeth Michael ‘Lulu’ hivi majuzi alitupia picha yake ya zamani mtandaoni (hiyo hapo juu) ikiwa kama ni “ThrowBackThursday” (TBT) yake, na kuiandikia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chenge Ageuka Mbogo Bungeni baada ya kuitwa FISADI.......Amtaka Halima Mdee...

MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) ametakiwa kuwasilisha ushahidi kuthibitisha kauli yake ya kumtuhumu Mbunge Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (CCM), kwa ufisadi.Chenge alilazimika kuomba utaratibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msanii Suge Knight akamatwa kwa mauaji.

Polisi nchini Los Angeles inasema kuwa msanii wa muziki wa rap kutoka Marekani Marion Suge Knight amekamatwa kutokana na mashtaka ya mauaji baada ya kumgonga mtu mmoja na gari lake hadi kumuua na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lazaro Nyalandu na Aunt Ezekiel Wachanwa Bungeni Kuhusu Safari ya Kwenda...

Jana wakati mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema , akichangia  hoja Bungeni nakudai kuwa mawaziri wengi  hawana ubunifu nakumrushia “bomu”  Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Washabiki Msipende Kudandia Treni kwa Mbele Mtagongwa - Shilole

Kwenye Kipindi cha TV cha Friday Night Jana usiku Kituo cha EAT Shilole Amefungukia mashabiki wake kuwa Wasipende kudandia Treni kwa mbele Mtagongwa ,kawaambieni hivyo mashabiki wake kwakuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Haya Kweli Maajabu Kwa Huyu Msanii wa Kenya!

Msanii Nazizi ameshangaza wengi kwa picha aliyoweka instagram saa tano zilizopita iliyoonyesha muonekano wake mpya na jinsi alivyopunguza mwili wake. 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jide: Kazi ya muziki nzuri jamani, Nilitoka kwetu na elfu 6 nikarudi mkoba...

Msanii akishafanikiwa kuwashawishi mashabiki kulipa kiingilio na kuingia kwenye show yake, hana kazi ya ziada zaidi ya kufanya show nzuri ambayo huwafanya mashabiki wenyewe kuingia tena mifukoni na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zari Atua ndani ya Dar, Athibitisha kwa Mara ya Kwanza kwa Kauli yake Kuwa...

Katika mitoko yako ya weekend hii usije kushtuka utakapokutana na couple fulani ‘Ameizing’ ya TZ+UG, sababu Zari Tlale a.k.a The Boss Lady yupo ndani ya jiji la Dar au kama anavyopaita mrembo huyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Said Fella: Bila kuwekeza fedha kwenye muziki msanii unapoteza tu muda.

Mwanzilishi wa kundi la muziki Wanaume Family na Yamoto Band, Said Fella amesema kama msanii anataka kufanya muziki, lazima yeye au uongozi unaomsimamia wawekeze fedha kwenye muziki wake.Fella...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ghana yafuzu nusu fainali Afcon .

Michuano ya kombe la mataifa ya Afrika imeendelea hii leo kwa kushuhudia mchezo mmoja wa hatua ya robo fainali ukizikutanisha Ghana pamoja na Guinea .Katika Mchezo huo Ghana walifanikiwa kufuzu hatua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond Ampeleka Mpenzi Wake Zari Songea..Watua na Ndege ya Kukodi.

Kama ni Kufika basi kwa Zari Diamond Amefika Mwisho wa Reli Kigoma, Toka mapenzi yaanza Diamond na Huyu Mrembo imekuwa tofauti kidogo na wapenzi wake wa nyuma..ambao alikuwa haongozani nao..... kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mfanyakazi wa Kutunza Maiti Motuari Akiri Kufanya Mapenzi na Maiti za Wanawake.

Ukistaajabu ya Musa Utayaona ya Firauni , Mwanaume mmoja mfanyakazi wa Chumba cha kutunza maiti Nchini Ghana Ameojiwa na Kituo cha TV cha Adom   Nchini humo na Kufunguka Makubwa.....Sharkur Lukas...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kodi ya kugharamia AU yaanzishwa.

Katika mkutano wa siku mbili wa viongozi wa nchi za Umoja wa Afrika, viongozi hao wamependekeza kuanzisha kodi ili kugharimia shirika hilo.Wamependekeza kodi itozwe juu ya tikiti za ndege, hoteli, na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ivory Coast yaingia Nusu fainali ya Afcon .

Timu ya taifa ya Ivory Coast imekuwa timu ya nne kufuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika baada ya kushinda mchezo wao dhidi ya timu ya taifa ya Algeria .Ivory Coast...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RUSHWA: Magufuli Awafukuza Kazi Wafanyakazi 400 wa Mizani, Asema huo ni...

Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli amevitaka vyombo vya dola kuingilia kati suala la rushwa kwenye vituo vya mizani za kupimia uzito wa magari yanayosafirisha mizigo, akisema rushwa hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bondia Francis Cheka Ahukumiwa Miaka Mitatu Jela..Kisa Hichi Hapa.

Bondia maarufu nchini wa ngumi za kulipwa Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya shilingi millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake iliyopo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Aamua Kumuua Dada Yake baada ya kuchoshwa na Vitendo vyake.

Jamaa mmoja huko Taiwan mama yake alikuwa anaumwa, baada ya kutbiwa Hospitali alirudishwa nyumbani kwa mapumziko lakini mtoto wake wa kike hakuonekana kujali hali hiyo ya mama yake, alikuwa akimsumbua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtoto anachukua bastola na kuwapiga wazazi wake…

Wazazi wana jukumu kubwa la kuhakikisha wanalinda watoto wao kila wakati ili waweze kuwa salama ikiwa ni pamoja na kuwaweka kwenye mazingira mazuri.Lakini wazazi wa mtoto huyu wamejikuta wakiwa hoi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha za Kwanza za Bondia Maarufu Akipanda Gari Kuelekea Kuanza Kifungo Chake...

 Bondia maarufu nchini Fransic Cheka baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 3 leo mchana baada ya kumpiga mangumi mfanyakazi wake mmoja....

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live