Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Mtoto anachukua bastola na kuwapiga wazazi wake…

$
0
0
boy yrs
Wazazi wana jukumu kubwa la kuhakikisha wanalinda watoto wao kila wakati ili waweze kuwa salama ikiwa ni pamoja na kuwaweka kwenye mazingira mazuri.
Lakini wazazi wa mtoto huyu wamejikuta wakiwa hoi hospitali baada ya mtoto wao wa miaka mitatu katika mji wa New Mexico kuchukua bastola iliyokua ndani ya mkoba wa mama yake na kuwafyatulia wazazi wake.
Justin Reymond ambaye ni Baba wa mtoto huyo alipigwa risasi ya sehemu ya mgongo huku mama yake, Gabrielle Burkhart ambaye ni mjamzito wa miezi nane naye akijeruhiwa vibaya katika bega lake.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles