Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Picha Za Flaviana Matata Alizoweka Hip hop Mogul Russell Simmons.

$
0
0

Russell Wendell Simmons wanamuita smaku ya biashara kubwa Marekani, huyu jamaa ni mwanzilishi wa record lebel kubwa duniani maarufu kama Def Jam Records, Russell pia ndiye aliyegundua mafazi ya Phat Farm, Argyleculture na American Classics.
 
Kama hufahamu huyu ni tajiri wa tatu wa hiphop duniani akiwa ni thamani ya dola za Kimarekani Milioni 340, ilikuwa mwaka 2011.
Hizi Picha za Flaviana Matata ameziweka kwenye Insta yake.
 1 2 3 4

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles