Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Nando asema yupo single kwakuwa wasichana hawawezi kumvumilia.

$
0
0
Akiongea na mtandao wa ‘bellatosirientertainment.com’, Nando alisema hiyo imemfanya aendelea kuwa single.
“Naaahh! A free Single Man I am..... They can't handle me...too much trouble...#Lol,” aliuambia mtandao huo.
Katika hatua nyingine, staa huyo amesema mashabiki wake wategemee vitu vikubwa siku za usoni. "ONE DAY they will see NANDO win An OSCAR.......but until then they need to RELAX AND WAIT FOR THE SHOW," alisema.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Latest Images

Trending Articles