Jamaa alijikuta anapata kichapo kikali kutoka kwa mke wake baada ya kumuonyesha jeuri ya kutorudi nyumbani mapema na kuchelewa kila siku huku akiwa amelewa, siku moja alirudi usiku huku akitukana mwanamke alichuma fimbo na kuanza kumtembezea bakora kama mtoto. the clictz