Jumatatu Novemba 10 badgalriri ambae ni hivi karibuni amerudi kwenye account yake ya instagramalitinga ndani ya Ikulu ya Marekani (White House) ambapo hizi ni picha alizoziweka kwenye ukurasa wake wa Instagram zikionyesha alichokifanya ndani ya Ikulu hiyo.