Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

CNN YARIPOTI KUUAWA KWA RAIS BARACK OBAMA WA MAREKANI.

$
0
0
Wrong-Obama-Caption
Ilishtua wengi na kuzua mjadala mkubwa katika mitandao ya kijamii baada ya shirika la utangazaji Marekani CNN kuripoti kuuawa kwa Rais Obama.

Makosa ya kiuandishi yalifanyika ambapo mtayarishaji wa video aliandika neno Obama badala ya Osama.
Stori ilikuwa inahusu mwanajeshi aliyedai kutekeleza shambulio na kumuua Osama bin Laden, “.. Seal who Claims he Killed Obama Under Attack…”
Kosa hilo lilikaa hewani kwa sekunde kumi na tano kabla ya kufanyiwa marekebisho.
Credit:Millardayo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles