Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

ULEVI NOUMAAAH ONA YALIYOMKUTA JAMAA NDANI YA TRENI.AIBUUUH.

$
0
0
Drunkman
 Tumesikia stori nyingi zinazozungumzia athari za matumizi ya pombe kwa kiasi cha kupindukia, stori hii inamhusu jamaa ambaye alilewa kupindukia na kulala usingizi mzito ndani ya treni akiwa mtupu bila kujitambua.

Jamaa ambaye hajatambulika alikutwa amelala usingizi mzito ndani ya treni New York Marekani huku akiwa amevaa soksi na viatu peke yake pasipo nguo yoyote mwilini mwake.
Mbali na kuelemewa na kilevi hicho, bado jamaa alikuwa na chupa ya Whisky mkononi akiendelea kunywa na hakuonekana kujali kitendo cha watu waliokuwemo ndani ya treni hiyo kumpiga picha.
1415461797164_wps_18_eURN_AD_151201068_Headlin



Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles