
Watu watatu wamesharipotiwa kufariki licha ya watu zaidi ya 300 kutoonekana na 13 wametolewa kama majeruhi huku uokoaji zikiendelea ambapo hadi habari hii inawekwa shughuli za uokoaji zinaendelea na watu wengi wanaokolewa kupitia madirisha huku chanzo cha ajali kikiwa hakijajulikana.