Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

UJIO MPYA WA WEUSI.

$
0
0
Screen Shot 2014-04-10 at 10.17.17 AMKwenye page za mastaa mbalimbali wa Tanzania kuanzia jana usiku kumewekwa hii picha ya Joh Makini, Nikki wa II na G Nako kutoka WEUSI ambapo watu wamekua wakitakiwa kuotea ni nini kinakuja.

Weusi ambao wanamiliki headlines za chati mbalimbali kwa single yao ya ‘gere’ bado hawajasema ni nini kinakuja ila baadhi ya mashabiki wameanza kuhisi labda ni ujio wa video ya hiyo single.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2632

Trending Articles