JOKATE: HAKUNA KAMA DIAMOND.
Jumamosi iliyopita, Oktoba 25, 2014 ilikuwa ni Siku ya Msanii Duniani ambayo kwa mara ya kwanza, Tanzania iliiadhimisha siku hiyo katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, mgeni rasmi akiwa ni Makamu...
View ArticleHuu Ndio Mwonekano Wa Rapper Rick Ross Baada Ya Kupunguza Kilo 45,Tumbo...
Rapper Rick Ross ambaye ndio mmiliki wa record lebel MMG amepunguza kilo zingine zaidi na sasa muonekano wake umabadilika sana. Mchakato wa kupunguza kilo na kuwa na afya bora ulianza mwaka moja nyuma...
View ArticleBaada Ya Kutoroka Msichana asimulia ya Boko Haram.
Ni miezi sita sasa baada ya wanamgambo wa kiislam wa kundi la Boko Haram kuwateka wanafunzi wasichana Zaidi ya 200 kaskazini mashariki mwa Nigeria, wasichana watatu ambao wametoroka wamezungumza katika...
View ArticleUmesikia hukumu ya Nahodha,wasaidizi wake kwa kuzamisha meli? Isome hapa.
Lee Joon-seok (Aliyefungwa pingu) aliyekuwa nahodha wa Mv Sewol akifikishwa mahakamani.Upande wa mashtaka wa kesi inayowakabili nahodha Lee Joon-seok (68) na wenzake 11 waliokuwa wafanyakazi katika...
View ArticleDrake ameingia kwenye headline nyingine inayohusu ugomvi, isome stori yake hapa.
Drake amekuwa moja ya mastaa ambao wamekuwa wakikaa kwenye headlines mara kwa mara kutokana na sababu mbali mbali.Safari hii Drake ameangusha kitita kikubwa cha fedha wakati akiwa anaharakisha kuingia...
View ArticleNahodha Wa Bafana Bafana Auawa Kwa Kupigwa Risasi Afrika Kusini
Mlinda mlango wa klabu ya Orlando Pirates ya Afrika kusini Senzo Robert Meyiwa, amefikwa na umauti baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana mwishoni mwa juma lililopita.Kwa mujibu wa taarifa...
View ArticleTFF Yaomboleza Kifo Cha Nahodha Wa Bafana Bafana.
Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) limeelezea masikitiko makubwa kufuatia kifo cha golikipa na nahodha wa timu ya Taifa ya Afrika Kusini (Bafana Bafana).Senzo Meyiwa (27) ambaye alikuwa golikipa...
View ArticleNDOA YA LADY JAY DEE SASA BASI HUU NDIO UTHIBITISHO KAMILI.
Huku wakiendelea kugoma kuwa wameachana siri ya ndani ambayo inazidi kufumuka kwa mastaa wawili ambao wemetengana kinyumba ambao ni mwanamuziki Judith Wambura’Lady Jay Dee’na mtandazaji kiwango Gardner...
View ArticleUpinzani waandika historia mpya Tanzania.
Sehemu ya wanachama wa NCCR - Mageuzi, CUF, NLD na Chadema wakionyesha alama ya vidole vitatu wakati wa utiaji saini makubaliano ya ushirikiano baina ya vyama hivyo jana kwenye viwanja vya Jangwani,...
View ArticleCheka aona ngumi hazilipi, arudi kuokota chupa Na Makopo Mtaani.
Nyumbani kwa bondia Francis ‘SMG’ Cheka hakuishi pilika ambazo zinatokana na kazi ya chupa za plastiki anayofanya bingwa huyo wa zamani wa dunia wa WBF.Nje ya nyumba yake kuna mafurushi kila kona...
View ArticleHichi Ndicho Alichosema Jackie Chan kuhusiana na mtoto wake kukamatwa na dawa...
Mkali wa movie kutoka Hong Kong China, Jackie Chan ameomba vyombo vya habari ‘vijichunge’ na namna vinavyoandika taarifa kuhusiana na kitendo cha mtoto wake kukamatwa na dawa za kulevya kwa kuwa...
View ArticleVideo Mpya Ya Hermer Q-Jero Iko Hapa.
Hermer Q ameachia video mpya ya wimbo wake ‘Jero’ iliyoongozwa na kampuni ya Paradise Video.Iangalie hapa:
View ArticleTaarifa kuhusu kupatikana kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu Dar es Salaam.
Taarifa iliyoripotiwa na kituo cha Radio One imesema kuwa hofu imetanda eneo la Kijitonyama Dar es Salaam karibu na kanisa la KKKT baada ya kuonekana kwa kitu kinachodhaniwa kuwa ni bomu, na kwa mujibu...
View Article