Quantcast
Channel: D'JARO ARUNGU
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari mbaya: Juliana Kanyomozi ampoteza mtoto wake wa kiume.

Mwanamuziki maarufu wa nchini Uganda, Juliana Kanyomozi, leo asubuhi amempoteza mtoto wake mdogo wa kiume Keron baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa Pumu. Kwa mujibu wa gazeti na New Vision Keron...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC: Ma-DC Dar watawajibishwa kutowadhibiti waganga wa jadi

Watendaji  wa serikali za mitaa na Wakuu wa wilaya watawajibishwa kwa kushindwa kutekeleza amri ya serikali ya kuwaondoa waganga wa jadi  na mabango yanayotangaza kuwapo kwa dawa ya Ukimwi na kuchochea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kitale (Mkude Simba) amwagia sifa kedekede Riyama Ally.

Kupitia ukurasa wa mtandao mmoja maarufu wa kijamii  nchini, mwigizaji wa vichekesho na filamu nchini, Kitale almaarufu kama Mkude Simba amemwamgia sifa kedekede mwigizaji mwigine anayefanya vizuri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kanisa Lafungwa baada ya Mchungaji wa kanisa hilo kufumaniwa Live na Mke wa...

Mwanzoni  mwa Mwezi  July  2014, Mchungaji Michael Semeni wa Kanisa la Living Word Ministry lililopo Ukonga- Majumba Sita jijini Dar es Salaam  alifumaniwa  live  akijiandaa  kuvunja  amri  ya  sita...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Binti aliyetumikishwa kwenye Madanguro China ahojiwa na Polisi kwa masaa 11

Shirika la Polisi la Kimataifa (Interpol), Tawi la Tanzania, limemhoji kwa saa kumi na moja binti aliyerubuniwa na kupelekwa China ambako kwa miezi mitatu alikuwa akitumikishwa kwenye madanguro nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waumini wa Kanisa la Anglikana Temeke jana nusura WAZIPIGE wakati wa ibada

Kiongozi wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Askofu Dk Valentino Mokiwa.  Waumini wa Kanisa la Anglikana la Watakatifu wote Temeke, jana nusura wazipige wakati ibada ikiendelea ambapo hali hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtoto wa Miezi 7 ALAWITIWA na Baba yake Mzazi

Mtoto mwenye umri wa miezi saba amelawitiwa na baba yake mzazi.   Mtoto huyo alifikishwa Hospitali ya Amana katikati ya wiki iliyopita kwa maelezo kuwa ana maradhi ya kuharisha, lakini baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA_HIVI NDIVYO VIUNGO VYA BINADAMU VILIVYOKUTWA KWENYE...

 Mmoja ya Kiungo cha Mguu Baadhi ya Mifuko ambamo Maiti izo zilikuwa zimewekwa Moja ya kichwa cha Binadamu ambacho kimetolewa katika moja ya Mifuko hiyo Umati wa watu wakiwa wanashuhudia tukio hilo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maisha ya Ray C Hatarini.....Wavuta Bangi waiwinda Roho yake Usiku na Mchana

Wiki  za  hivi  karibuni  mwanamuziki  wa  bongo  fleva  ambaye  pia  ni  mwanaharakati  wa  kupinga  matumizi  ya  dawa  za  kulevya  Rehema  Chamila  'Ray C'   amepatwa  na  misukosuko  mingi  ambayo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mke wa polisi afia nyumbani kwa dereva wa bodaboda

Jeshi la Polisi linamshikilia dereva mmoja wa pikipiki, maarufu kama bodaboda wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro baada ya mke wa askari polisi kukutwa amekufa chumbani kwa dereva huyo.   Tukio hilo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vinara wa Mabomu Wakamtwa wakiwa na Mabomu 7, Risasi 6 na Baruti jijini Arusha

JESHI la polisi hapa nchini limefanikiwa kuwatia mbaroni vinara wa milipuko ya mabomu hapa nchini, Yusufu Ally (30) na mkewe Sumaina Juma (19), wakazi wa Sombetini, wakiwa na mabomu ya kurusha kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kilichoendelea katika kesi ya Mbasha Mahakamani jana July 23 2014: Mbasha...

KESI ya ubakaji inayomkabili mume wa Flora Mbasha ambae ni mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili Tanzania Emmanuel Mbasha (32), ilitajwa tena July 23 2014 katika mahakama ya wilaya ya Ilala ambapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sakata la Viungo vya Binadamu kutupwa Dar: Chama cha Madaktari chataka Chuo...

Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kimesema Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU)  sanjari na hospitali iliyo chini yake, vinastahili kufungiwa.  Tamko hilo la chama limekuja huku...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KABURI LA KUAMBIANA LATOBOKA KIMAAJABU

 Muonekano wa karibu zaidi wa shimo hilo.SIKU chache baada ya kukutwa mauzauza katika kaburi la mwigizaji Rachel Haule ‘Recho’, kaburi la mwigizaji Adam Kuambiana (pichani)limekutwa limetoboka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jaji wa Mahakama kuu afungua kesi ya madai ya sh.Milioni 300 kutokana na...

Jaji wa Mahakama Kuu, Grace Mwakipesile amefungua kesi ya madai ya kulipwa fidia ya Sh milioni 300 kutokana na majeraha na maumivu aliyoyapata katika ajali aliyoipata mkoani Shinyanga.  Amefungua kesi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanaodaiwa kulishambulia Gari la Magereza kwa Risasi Wapandishwa Kizimbani

Watu wawili wanaotuhumiwa kuhusika na tukio la kushambulia gari la magereza kwa risasi, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni wakikabiliwa na mashitaka matatu.  Watuhumiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kuhusu Mjane aliyefukuzwa nyumbani baada ya mazishi ya mumewe.

Kutoka kwenye Idara ya Hekaheka ina taarifa ya mjane aliyefukuzwa nyumbani kwa mumewe na ndugu wa marehemu zikiwa siku tatu baada ya mazishi ya mume wake,kanyang’anywa vitu kadhaa ikiwemo hati za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanamke wa Sudan aliehukumiwa kifo kwa kuolewa na Mkristo amewasili Italia.

Huyu wa kwanza kushoto aliembeba mtoto ni Makamu wa waziri wa mambo ya nje ya Italy Lapo PistelliKiongozi wa kanisa katoliki duniani Pope Francis Alhamisi ya July 24 2014 nchini Italia amekutana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kundi lingine la uhalifu laibuka mkoani Dodoma....Vijana hao wanajiita...

Kundi kubwa la vijana wanaojiita wadudu wa dampo limeibuka mjini Dodoma na kufanya matukio ya uhalifu huku likihusishwa na mauaji ya watu wanne yaliyotokea hivi karibuni.Uwepo wa kundi hilo umezua hofu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lulu Michael Amfungukia Ali Kiba Na Kuwakoromea Wanaoendekeza...

Ali Kiba ameachia  nyibo mbili  kwa  mpigo ambapo response ya mashabiki ni nzuri. Sasa kupitia Instagram star wa filamu nchini Elizabeth Michael 'Lulu" amefunguka mambo mengi  sana  kuhusiana  na  Ali...

View Article
Browsing all 2632 articles
Browse latest View live