Anaitwa Kcee ni staa wa mziki kutoka Nigeria, inaaminika kua msanii huyu ni kati ya wasanii wachache sana wenye mkwanja mrefu kutoka Nigeria. Ndio msanii pekee kutoka Afrika ambae ameweza fanya kolabo na Nicki Minaj. Mpya kutoka kwa jamaa huyu ni gari yake mpya aliyonunua aina ya Cadillac Escalade ikiwa na rangi ya Dhahabu.
↧