$ 0 0 Akiwasalimia mashabiki wake.Mashabiki wakimshangilia.Msanii wa Hip Hop, Joh Makini kutoka Kundi la Weusi aliwakilisha vilivyo katika Tamasha la wazi la Coke Studio lililofanyika juzi Jumapili Cocobeach jijini Dar.Credit:GPL