
Kwa mujibu wa TMZ, adhabu yake ya kufanya shughuli za kijamii imeongezwa hadi siku nne kwa wiki, hii ina maanisha kuwa anaweza kumaliza masaa yote January mwakani.
Kutokana na ratiba hiyo mpya iliyotolewa na mahakama ambayo inampasa kufanya kazi saa nane kila siku (katika siku nne kwa wiki).
Mabadiliko hayo yataathiri sana mpango wa ziara ya Chris Brown na Trey Songz kwa kuwa hatakuwa na muda mzuri wa kufanya mazoezi ya pamoja.